I made this widget at MyFlashFetish.com.

Friday, March 5, 2010

Q.CHIEF AMESEMA ATAKI URAFIKI NA WASANII


Msanii wa miondoko ya zouk Q.CHIEF amesema kua kwasasaivi ataki kujenga urafiki na msanii yoyote yule coz amejifunza vitu vingi kutoka kwa watu. na hasa majungu ndio yamemfanya akatae kua na marafiki.maneno hayo aliyasema wakati alipokua akiojiwa katika kituo kimoja cha radio cha CLOUDS FM.

No comments:

Post a Comment