
Uyu jama amini usiamini ni matata sana manake d!!!OK anaitwa CAPTEN ZANGE alifanya part ipendeze sana hasa watu pale walipotangaziwa kuwa sasa ni mda wa kufungua shampeni.shangwe zakutosha kutoka kwa mabinti uku CAPTEN akisamama kwakulinga.
...mwanzo mwisho...
No comments:
Post a Comment