
JAY MOE nadhani tunamfahamu vizuri katika game hili la HIP HOP nchini TANZANIA.ok JAY MOE ameachia mzigo wake mpya ambao ameufanyia studio za FISH CRAB na pruducer LAMAAR na track iyo inakwenda kwa jina la SOME MONEY kama wiki 2 hivi ndio imeachiwa kama ujaisikia fatilia.
No comments:
Post a Comment