
Lile Kunde kubwa la LA.FAMILIA kutoka Ilala linaloongozwa na CHIDY BEENZ kwa sasa litakuwa linapiga show maeneo ya Kurasini pale NEW MASAAI CLUB, nimezungumza na CHIDY ameniambia atakuwa anafanya Hip Hop live show na itaanza rasmi jumatato ya wiki hii inayoanza kesho na kiingilio kitakuwa ni sh elfu 3 mlangoni na ladiez ni FREE
No comments:
Post a Comment