
ADAM JUMA wa VISUAL LAB hivi karibuni alikua kitaani kwaajili ya kufanya shooting ya mwanyamwezi HUSSEIN MACHOZI ambae msanii huyo kwasasa ametoa kazi yake inayojulikana kama vile ZAMWIZI 40.yah VISUAL LAB ndio inasimamia video hiyo mpaka ikae mzuka
...mwanzo mwisho...
No comments:
Post a Comment