
TIMAMU SANA. unaitakia kila la kheri timu ya taifa Tanzania(Taifa Stars) ktk mchezo wake wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Uganda(The Cranes) utakaopigwa jijini Mwanza ktk dimba la CCM Kirumba jumatano tarehe 3 march!!!
...mwanzo mwisho...
No comments:
Post a Comment