
HUSEIN MACHOZI jamaa ambae anawakilisha MWANZA kwa huzuri kabisa.Yeah bado anaendelea kuuza album ya PILI ambayo imesheeni ladha nyingi tofauti tofauti kutoka kwa maproducer wawili tu.yani AMBA NA KID BWAY.itafute uisikilize utaniambia.
...mwanzo mwisho...
namkubali sana huyo kijana
ReplyDelete