Sunday, February 28, 2010
TAIFA STARS FLOM TANZANIA
TIMAMU SANA. unaitakia kila la kheri timu ya taifa Tanzania(Taifa Stars) ktk mchezo wake wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Uganda(The Cranes) utakaopigwa jijini Mwanza ktk dimba la CCM Kirumba jumatano tarehe 3 march!!!
HASHEEM THABIT IN N.B.A
When the news surfaced that, Hasheem Thabeet, is headed to the Development League (D-League), the reaction among Tanzanians especially the users of social networks such as Facebook and blogs were overwhelming. I guess the big question in lots of folk’s minds was; what is a D-League? Does it suggest that he is no longer going to be playing in the usual NBA league? Well, it depends on a lot of things. You can read more about the D-League and its implications or benefits to Hasheem career by clicking here and also here.
The social networks such as Facebook and blogs were immediately stuffed with comments and opinions. Some were wishing him a “quick comeback “to the NBA, while some couldn’t hesitate to throw jabs on him in the sentiment of “we told you”.
I guess the news was “worth the talk”, because not only Hasheem is the first Tanzanian ever to play in the NBA, but also the highest draft pick ever to go to the D-League. Thabeet, who has played sparingly in his rookie season, averaging 2.5 points in 10.3 minutes over 50 games, has been optioned to the Dakota Wizards. He made his debut yesterday when Dakota Wizards played Erie Bayhawks. Dakota Wizards won 108-103.
Before his debut in the D-League.
TIMAMU SANA inaungana na all good-hearted Tanzanians especialy sports fanatics to wish you all the best in your tireless efforts to make things happens!!!...UPO JUU anyway!!!
Saturday, February 27, 2010
DK.DREE PRODUCER ANAETISHA DUNIANI
HUSEIN MACHOZI ANAENDELEA KUUZA ALBUM
ALLY KIBA NA SHOW NDEFUUUUUU.........
WAAAAAAAOH!!!!! DA!! HII NI NOMAAAAA
Friday, February 26, 2010
RAEKWON THE CHEF
50 CENT LIVE ON THE STAGE
NASIR JONES A.K.A NAS HIP HOP REAL
Nasir Jones (amezaliwa tar. 14 Septemba, 1973) ni mwanamuziki wa rap na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake kisanii kama Nas. Zamani alikuwa akijiita Nasty Nas. Nas ni mtoto wa mwanamuziki wa jazz wa zamani Mzee Olu Dara. Alizaliwa na kukulia katika nyumba za miradi za mjini (nyumba za watu wenye kipato cha chini) Queensbridge, New York.
Nas alisaini mkataba na studio ya Columbia Records mnamo mwaka wa 1994, na kutoa albamu yake ya kwanza ya Illmatic. Albamu ya Illmatic ilipata kuwa bora na kufahamika zaidi na mauzo bora.
Baadaye albamu kadhaa za Nas zilifuata. Albamu hizo ni pamoja na It Was Written ya 1996, I Am... and Nastradamus ya 1999, na Stillmatic ya 2001. Nas alikuwa mmoja kati ya wanakundi la muziki wa rapna hip hop - The Firm, ambalo limejumlisha wasanii wengine kama vile AZ, Foxy Brown, na Nature. Ingawa, kundi halikufanya kazi nyingi na badal yake wakatoa albamu moja tu ya pamoja.
Kuanzia mwaka 2001 hadi`2005, Nas aliusishwa katika ugomvi mkubwa na rapa mwenziwe Bw. Jay-Z. Marapa wote walikuwa wakishambuliana kwa kutumia nyimbo zao.
Wawili hao ugomvi wao ukaja kwisha baada ya kualikwa katika tamsha la muziki la New York City-area hip-hop za vituo vya redio. Nas akasaini mkataba na studio ya Jay-Z maarufu kama Def Jam mnami mwaka 2006.
Albamu yake ya kwanza akiwa kama mmoja wa Def Jam, ilitoka mwaka wa 2006, ikiwa na jina la Hip Hop is Dead, ikiwa imeambatana na albamu nyingine ya mwaka wa 2008, iliyokwenda kwa jina la Untitled.[1]
JOSLIN DU!!!!!! AMPOTEA SANA KWENYE GAME
JOSLI MCHALLA.a.k.a JOSLIN nimoja yawasanii ambao wamesumbua sana kwenye game la BONGO FLEVA.Yah amekaa kimya sana tangia pale alipotoka katika rebo ya MJ.RECODRS ambapo inasemekana tatizo lilikua ni pesa za mauzo ya album yake ya pili.lakini kwasasa atujui jamaa kua anafanyia kazi zake kwenye studio gani.
Thursday, February 25, 2010
T.O.K OUR WORLD
Welcome to T.O.K.’s world where exquisite four part harmonies contrast rough edged deejaying, soaring falsetto hooks and gently crooned love songs are as plentiful as rapped verses and gritty gangster exploits; a world where crisp production and idiosyncratic, taut songwriting yield a daring fusion that ranks them among dancehall’s most distinctive and enduringly popular acts. T.O.K. (an acronym for Touch of Klass) has named their third album for VP Records “Our World” because it encompasses an assortment of musical ingredients that have had the greatest influence on the group’s sonic identity. “With this album we have consolidated all that variety into one project,” explains group member Roshaun “Bay-C” Clarke. “We have dancehall, one-drop, Latin flavored beats, music for the hardcore listener, for the conscious listener and for the party goers; that is what our world represents.”
“Our World” is dominated by previously unreleased tracks with a few of T.O.K.’s recent hits including “Guardian Angel”, a prayer for spiritual strength sensitively sung over a one-drop reggae rhythm, produced by Arif Cooper. In March 2009, nearly two years after its initial release, “Guardian Angel” topped Japan’s Ring Tone Download Chart. Japanese fans have consistently shown tremendous love to T.O.K. since their initial performance there in 200l. T.O.K.’s debut album “My Crew My Dogs” and their sophomore effort “Unknown Language” were, respectively, certified gold (sales of 100,000) and platinum (sales of 250,000) by the Recording Industry of Japan. Encouraged by the great response to “Our World” since its Japanese release on June 16, T.O.K. anticipate equal success in various global territories when the album drops worldwide on August 25th.
Tuesday, February 23, 2010
JENNIFER LOPEZ PROFILE PAGE
Jennifer Lopez was born in New York City, on July 24th, 1970. The daughter of David, a computer programmer, and Guadalupe, a kindergarten teacher, the young Lopez always dreamed of becoming a performer.
With talents in singing and dancing, Jennifer started to perform in stage musicals, dancing in a European tour of Golden Musicals of Broadway, a Japanese tour of Synchronicity, and local productions of Oklahoma and Jesus Christ Superstar
ROCA FELLA RECODRS STAND UP........
BEEN MAN KING OF DANCER HALL FROM JAMAICA
WANAFUNZI JAMANI EEEEEEEEEH!!!!!!!!!!
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ATOA SAPORT KWA WASANII
JAY .Z MKALI WA HIP HOP DUNIANI
LIL WAYNE AKIWA ANASUBIRI KIFUNGO CHAKE
BEEZY NA ALBUM YA THE B-DAY
BLUE ALIPOKUA KWENYE KITUO CHA TV
DJ CHOKA NA MR BLUE WALIPOKUA COMORO
TEEYAH AKIWA NA MR BLUE
NDEGE AMBAYO ALIOKODIWA MR BLUE,,,,,!
DJ CHOKA KWENYE MASHINE NI NOMAAAA.....
Monday, February 22, 2010
MWANA.F.A KUJA NA NGOMA MPYA!
mchizi ambae ninoma kwenye miondoko ya bongo fleva HAMIS MWINYI JUMA a.k.a MWANA.F.A yupo njiani kuachia kazi yake mpya ambayo kazi iyo ameifanyia katika studio za B.HITS ambayo inamilikiwa na HAMMY.B lkn kuweka ladha zaidi pia pruducer mdogo anaekuja kwakasiPANCHO RATINO ameonesha pia ujuzi wake kwenye ngoma iyo.....OK tuisubili kazi iyoooooooooooooooo.....
Saturday, February 13, 2010
FID.Q,,, NGOSHA THE DON
STOPA RYMZ,,KUTOKA NA VIDEO
AGAPE MSUMARI........MMH!!!!!!!!
Friday, February 12, 2010
TEMMY.G A.K.A BABA NATHANI
Mtangazaji ambae amebahatika kupata vipaji vingi na kuvitumia ipasavyo.huyu ni TEMMY MAHONDO A.K.A TEMMY.G ambae pia ni producer anae miliki studio za RENBOW RECORDS zilizopo pande za IRINGA TOWN.apa akiwa katika kuendesha kipindi chake cha POWER JAMS ambacho kinaruka kila siku ya j,3 hadi ijumaa ndani COUNTRY FM 88.5 IRINGA..
MANZIII WATIZIII..........AGGNES ANDASON.
Yeah, bishosti AGGNES ANDASONI SAMSONI a.k.a MANZII WA TIZIII akiwa katika moja yavipindi ambavyo fanya katika kituo cha radio cha EBONY FM ambayo inapatikana mkoani IRINGA...,ametokea pia kupendwa na wasikilizaji coz da!!!! anawapa sana mashavu wasanii wa mkoani IRINGA. iliwasimame vizuri kwenye game la BONGO FLEVA.
DULLAH MPANGO MZIMA..............!
Yeraaaaaaaaa!nikijana ambae ameonekana kuwashika watu kwakipindi kifupi tu,pale alipoachiwa kipindi cha PLANET BONGO ambacho kinaruka kila j.5 CHANEL 5.pia nikipindi ambacho kimetokea kupendwa na watu mbali mbali ndani ya TANZANIA na nje ya TANZANIA pia huyu cmwingine ni DULLAH a.k.a mjukuu wa AMBUA
DJ,MUBA ON THE ONE ON TWO
TUDDY TOMAS KUMILIKI STUDIO YAKE
Subscribe to:
Posts (Atom)