I made this widget at MyFlashFetish.com.

Friday, April 4, 2014

MSITU KUNDI JIPYA KATIKA MAPINDUZI YA MUSIC

Moja kati ya makundi ambayo yanafanya vizuri katika mziki wa bongo fleva nchini tanzania autoweza kutokulitaja kundi la MMSITU ambalo kundi hilo maskani yake ILALA BOMA.MAJINA YA WATU wa kundi hilo ni....mgonela,s.o.p,na mwangila

Friday, January 6, 2012

C-SIR MADINI KUTOA MKWAJU MPYA


Msanii wa miondoko ya bongo fleva nchin maharufu kama C-SIR MADINI ambae anamilikiwa na na studio za TETEMESHA zilizopo jijini mwanza.hivi karibuni ameachia kazi yake mpya ambayo anaamini itafanya vizuri endapo kama mashabiki mkimpatia ushilikiano mzuri katika kuifanya ngoma hiyo kufika mbali.C-SIR amesema kazi yake mpya inaitwa NISHIKE MKONO.ikiwa nimuendelezo wa kazi yake ya KIFUNGO HURU.pia kazi hiyo ameifanyia katika studio za TETEMESHA RECODRS chin ya producer KID BWAY

BONGO WASANII WANAIBIWA LIVE BILA WENYEWE KUJIJUA


Wasanii bongo kilio kikubwa miaka mingi nikutaka serikali pia iweke nguvu zaidi katika kuangalia kazi za bongo zisiibiwe.hivi karibuni mwana blog mwenzetu alikua akikatiza mitaa ya kinondoni ndipo alipokutana na cd yenye mchanganyiko wa wasanii wengi wa bongo fleva nchin.ikiwa inauzwa kwa wingi.jaman hivi kweli wasanii wetu watatimiza malengo kweli?

Tuesday, January 3, 2012

AFRICANS ACT FOR AFRICA

MWANA DADA MEDE ATAKA KUISAIDIA TIMAMU RECODRS


Mwana dada medelin ndumbalo.maharufu kama mede ameamua kufunguka kwa mwaka 2012 kwakusema live juz katika mahojiano na radio country fm 88.5 irnga town. nakusema kwasasa yupo tayari kutoa mchango wa tisht ambazo zitawafanya wasanii wa studio ya TIMAMU kufill kama nawao nimoja kati ya wasanii ambao wanafaa kujaliwa vipaji vyao.MEDE amesema hadi kufikia mwezi wa kwanza mwishoni zitakua tayari zimeshawafikia wasanii hao.mede ambae kwasasa anaishi nchin ujeruman.cha mwisho amesema anawapenda xana wasanii wa BONGO na MZIKI pia.

Tuesday, December 20, 2011

HAYA WAKAZ WA ILULA.....KIWEWE NA BAADH YA WACHEKESHAJI WENZAKE X.MASI WATAKUA PANDE HIZO


Yeah.mchekeshaji wa kundi zima la ZE.COMEDY maarufu kam KIWEWE atakua akitumbuiza siku ya x.masi ilula katika ukumbi wa RAS CHEDY.ataonyesha live makeke yake jinsi gan anavyokua stage. akishilikiana na wasanii mabali mbali wakiwemo na wasanii wa kizazi kipya yani BONGO FLEVA.

Monday, September 26, 2011

MAPINDUZI MAPYA YA VIDEO NA KAGUSA


Mchiz ambae anakuja kuleta mapinduzi kwenye video za kitanzania.kwasasa anategemea kuachi video ya wimbo wa member wa kundi la TIMAMU ambae anajulikana kama ONORY.pia anaamini atafanya kazi nzuri kama wasanii nao watakua wanaupeo mkubwa wa mawazo na kujituma pia.jamaa anaitwa KAGUSA ambae maskani yake ni IRINGA TOWN.so kaeni tayari kwa kazi poa na nzuri pia

Friday, September 23, 2011

SWAHILI HIP HOP SAMMIT IS COMING SOON


Ujio mkubwa unao kuja hivi karibuni nchini TANZANIA.hasa zaidi kwa wasanii wa HIP HOP nchini kwetu.inataraji kua na wasanii mbali mbali nje na ndani ya nchi.TIMAMU RECODRS nimoja ya studio ambayo ambayo itashilikiana na SWAHILI HIP HOP FAMILY kukuza vipaji mikoa ya nyanda za juu kusini.kwamaelezo zaidi cheki na 0712300222

KICHWA KIPYA KUTOKA TIMAMU RECORDS..BOBBY


Moja kati ya wa2 ambao wanafanya hip hop tokea kitambo basi ni uyu jamaa anaitwa BOBBY ambae kwasasa anafanya kazi katika kituo cha RADIO mkoani IRINGA.ni 89.5 HOT FM.upande wapili anasomeka hivyo.hivi karibuni anatarajia kuachia kazi yake mpya ambayo imefanyika AB RECORDS chini ya producer KERUZ.katika kazi yake hiyo amewashilikisha ISIAKA.MC pamoja na MASS ver soon

Friday, November 26, 2010

THIS IS TIMAMU.MWANZO MWISHO


Yes...........habari zenu wapenzi wa blog hii.najua tumekua pamoja sana kwakipindi kilefu pia.msione tumekua kimya sana coz mambo ni mengi sana namajukumu ya kikazi yanachangia hasa kutowapatia habari habari kwenye mtandao huu.lakini tunawaahidi kua tuna malizi mipango ya studio ya TIMAMU RECORDS then kama kawa pande hizi.thanx 4 ma.people.by ISIAKA MC AND FURAHA.

Tuesday, November 16, 2010

LINDER MWENYE SWAGGA ZA MBELE MBELE


Ebwana kuna wanadada mbali mbali ambao ukiwaona uwa unadata live machoni kwako hasa kwa mitindo ambayo wamekua wakizolea uspuni mkubwa na umaharufu katika mitaa yao na hata sehemu nyingine.Okey uyu anaitwa LINDER.mpango mzima kama unavyomuona amepozi kwa style flani ambayo daaaa!!!!!!hatar xana.

Friday, October 15, 2010

SASA NI DA.STAMINA MKWANJA


Jamani yapo makundi mengi sana lakini kundi hili la DA.STAMINA du!!!! nishai.ok kundi hili lipo bongo dsm....mitaaa ILALA BOMA MCHIKICHI ambalo linashugulika na kzi za mziki kiujumla miyongoni mwao kati ya wasanii wanao wakilisha kundi hlo ni SHETA ,DVD THE DON,BELLE.9 nawashkaji kibao.kwasasa wanategemea kutoa tishat kali ambazo simuda mlefu ntakujuza 2 amesema hayo meneja wa kundi hilo ABUU KISAUTI a.k.a SHABAA

Friday, October 8, 2010

YEAH....UYU NDIO LILYONCE. AJA NA TOTO SHOP CLASSIC


Wanawake wengi sana skuizi wamekua wakijishuhulisha na vitu mbali mbali ilimladi kuweka maisha mzuri ya mbeleni uko tunapoelekea.uyu anaitwa LILIAN EDWIN a.k.a LILYONCE ni mama wa ntoto mmoja aneitwa KHALIFA ISIAKA ZAYUMBA a.k.a DADY.ok LILY ambae kwasasa yupo katika kazi ya uwalimu mkoani IRINGA.pia anafundisha katika shule ua kiislam ya MUSALAAM iliyopo iringa maeneo ya gangilonga.kwasasa anategemea kufungua duka la vifaa vya shule ambalo litaweza kuwasaidia wanafunzi kupata mahitaji yao kwahalaka zaidi.

Monday, October 4, 2010

PRODUCER WA VIDEO ANAECHIPUKIA


Kwasasa kumekua na ushindani mkubwa sana kwenye maswala ya utengenezaji wa vidio apa nchin TANZANIA.OK uyu jamaa anajishugulisha na utengenezaji wa video mbali mbali na ameamua kuweka maskani yake pande za IRINGA TOWN.anajulikana kama SAM.so kama vp mcheki hewan o759288441

Sunday, October 3, 2010

UYU NDIO FURAHA WA TIMAMU RECORD'S


ebwanaaaaaaaa! huyu ni firstlady kutoka TIMAMU RECORD's anaye fanya vizuri katika mziki wa kizazi kipya nchini TANZANIA.
hivi sasa TIMAMU inavituvingi vya kufanya kuhakikisha project za studio na za intertainment kwa ujumla zina kwenda sawa.
kama humjui huyu anaitwa; "FURAHA" amesha achia kazi yake ambayo amemshirikisha LINEX na ANNET inayo kwenda kwa jina la MAPIGO YA MOYO, na siyo muda mrefu ataachia kaziyake mpya itakayo kwenda kwa jina la " MZIKI KAZI" ambapo humo ndani amemshirikisha NEMO......

PRODUCER TC WA 69 RECORDS SASA AJIPANGA UPYA


Mchizi uwa anakubalika sana katika kufanya kazi zake za uzarishaji wa mziki nchini TANZANI.anajulikana kama TC.ya kwakipindi kilefu amekua kimya coz mchizi alikua anaongeza ujuzi wake katika chuo cha sanaa bagamoyo.OK amesema soon watu watapata kusikia kazi zake upyaaaaaaaaaaaaa.

AKIWA STUDIO KATIKA KUTENGENEZA BEAT

YASINTA......... AMERUDI KUTOKA CHINA.....SASA MMMH.....PANDE ZA SINGAPOL


Jamani kweli life is change.mmmh!!!!Uyu anaitwa YASINTA kwakipindi kirefu ayupo bongo alisanukia pande za SINGAPOL uko kutafuta life. kurekebisha mpango mzima wa home.Yes....na kwenye michezo ya kitoto nimecheza nae sana yeye alikua mama na mm isiaka nilikua baba.Duuuuuuuu...jamani haya tena uyu ni mchizi wangu ile mbayaaaaaaaa.