
Yes...........habari zenu wapenzi wa blog hii.najua tumekua pamoja sana kwakipindi kilefu pia.msione tumekua kimya sana coz mambo ni mengi sana namajukumu ya kikazi yanachangia hasa kutowapatia habari habari kwenye mtandao huu.lakini tunawaahidi kua tuna malizi mipango ya studio ya TIMAMU RECORDS then kama kawa pande hizi.thanx 4 ma.people.by ISIAKA MC AND FURAHA.
No comments:
Post a Comment