Sunday, October 3, 2010
UYU NDIO FURAHA WA TIMAMU RECORD'S
ebwanaaaaaaaa! huyu ni firstlady kutoka TIMAMU RECORD's anaye fanya vizuri katika mziki wa kizazi kipya nchini TANZANIA.
hivi sasa TIMAMU inavituvingi vya kufanya kuhakikisha project za studio na za intertainment kwa ujumla zina kwenda sawa.
kama humjui huyu anaitwa; "FURAHA" amesha achia kazi yake ambayo amemshirikisha LINEX na ANNET inayo kwenda kwa jina la MAPIGO YA MOYO, na siyo muda mrefu ataachia kaziyake mpya itakayo kwenda kwa jina la " MZIKI KAZI" ambapo humo ndani amemshirikisha NEMO......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment