
Mchizi uwa anakubalika sana katika kufanya kazi zake za uzarishaji wa mziki nchini TANZANI.anajulikana kama TC.ya kwakipindi kilefu amekua kimya coz mchizi alikua anaongeza ujuzi wake katika chuo cha sanaa bagamoyo.OK amesema soon watu watapata kusikia kazi zake upyaaaaaaaaaaaaa.
No comments:
Post a Comment