
Jamani yapo makundi mengi sana lakini kundi hili la DA.STAMINA du!!!! nishai.ok kundi hili lipo bongo dsm....mitaaa ILALA BOMA MCHIKICHI ambalo linashugulika na kzi za mziki kiujumla miyongoni mwao kati ya wasanii wanao wakilisha kundi hlo ni SHETA ,DVD THE DON,BELLE.9 nawashkaji kibao.kwasasa wanategemea kutoa tishat kali ambazo simuda mlefu ntakujuza 2 amesema hayo meneja wa kundi hilo ABUU KISAUTI a.k.a SHABAA