I made this widget at MyFlashFetish.com.

Tuesday, December 20, 2011

HAYA WAKAZ WA ILULA.....KIWEWE NA BAADH YA WACHEKESHAJI WENZAKE X.MASI WATAKUA PANDE HIZO


Yeah.mchekeshaji wa kundi zima la ZE.COMEDY maarufu kam KIWEWE atakua akitumbuiza siku ya x.masi ilula katika ukumbi wa RAS CHEDY.ataonyesha live makeke yake jinsi gan anavyokua stage. akishilikiana na wasanii mabali mbali wakiwemo na wasanii wa kizazi kipya yani BONGO FLEVA.

Monday, September 26, 2011

MAPINDUZI MAPYA YA VIDEO NA KAGUSA


Mchiz ambae anakuja kuleta mapinduzi kwenye video za kitanzania.kwasasa anategemea kuachi video ya wimbo wa member wa kundi la TIMAMU ambae anajulikana kama ONORY.pia anaamini atafanya kazi nzuri kama wasanii nao watakua wanaupeo mkubwa wa mawazo na kujituma pia.jamaa anaitwa KAGUSA ambae maskani yake ni IRINGA TOWN.so kaeni tayari kwa kazi poa na nzuri pia

Friday, September 23, 2011

SWAHILI HIP HOP SAMMIT IS COMING SOON


Ujio mkubwa unao kuja hivi karibuni nchini TANZANIA.hasa zaidi kwa wasanii wa HIP HOP nchini kwetu.inataraji kua na wasanii mbali mbali nje na ndani ya nchi.TIMAMU RECODRS nimoja ya studio ambayo ambayo itashilikiana na SWAHILI HIP HOP FAMILY kukuza vipaji mikoa ya nyanda za juu kusini.kwamaelezo zaidi cheki na 0712300222

KICHWA KIPYA KUTOKA TIMAMU RECORDS..BOBBY


Moja kati ya wa2 ambao wanafanya hip hop tokea kitambo basi ni uyu jamaa anaitwa BOBBY ambae kwasasa anafanya kazi katika kituo cha RADIO mkoani IRINGA.ni 89.5 HOT FM.upande wapili anasomeka hivyo.hivi karibuni anatarajia kuachia kazi yake mpya ambayo imefanyika AB RECORDS chini ya producer KERUZ.katika kazi yake hiyo amewashilikisha ISIAKA.MC pamoja na MASS ver soon